Popular Posts

May 19, 2011

Mke Mwema

Kweli Mke Mwema anatoka kwa Bwana
Maana Upendo wa kweli pia watoka kwa Bwana
Nani alisema kwamba Mke hatampenda Mumewe?
Au Mume Hatampenda Mkewe?

Ili ndoa idumu, Upendo Wa Mwanzo ni Silaha
Ni nani Mwenye Busara na Ufahamu asiyeitamani hii 'Pair'?

Huyu ndiye Mganga wa Kiu Yangu
    SHALOOM  KWA WOTE WAPENDANAO