Popular Posts

Mar 28, 2011

Hongera 20%

Sina dukuduku lolote juu Ushindi wa Wimbo wa Tamaa Mbaya ktk Tuzo za Kili-awards...siyo siri, 20% anakila haki ya kutwaa tuzo Tano za kili-award...MAADILI yaliyomo ndani ya Truk hii siwezi hata kuelezea kutokana na Ubora wake...,''He is the Best ever Artist'' to to win such number of Nominations...Huo ni ujumbe kwa 'Mjinga'(S.jabil)..ajue kwamba Umalidadi huficha Umasikini...HONGERA.

Hongera 20%

Mar 24, 2011

Vijana wa Chadema wawasha Taa.

Mpango bado unaendelea..''ELIMU YA URAIA KWA WANANCHI''.....VIJANA wa CHADEMA Wameanzisha Mpango Kabambe wa Kuzunguuka Nchi Nzima Kuendesha Shughuli nzima ya Kuelimisha Umma wa Watanzania juu ya Haki na wajibu wa Raia..ikiwa ni pamoja na Elimu ya haki ya Utunzaji na Utumizi wa Mali asili zinazowazunguuka Pamoja na Ufunguzi wa Matawi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo....HAPA MJOMBA Husema 'Waooh,,,,HONGERENI WATOTO wa DADA''......Sidhani kama Kuna Mtanzania anayelaani suala hili la Kizalendo...Nami Sichelei kusema Hongera kwa Vijana hawa Wana wa Kitanzania Wenye nia Na Dhati ya Kuuvua Umma MAWANI ya MBAO waliyovikwa Miaka 49 iliyopita..NAWATAKIA KILA LA KHELI'